Huyu anaitwa MTINDO ELIAS ameokoka na pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili, Leo hii GOSPO TONE tumekuletea wimbo wake uliotokea kugusa maisha ya watu wengi sana kutokana na kutengenezwa na kuimbwa kwa umahili wa hali ya Juu sana.
Wimbo huu umeandaliwa katika studio za BM records Chini ya producer EDWIN MROPE Na huu wimbo ni mojawapo katika nyimbo zinazounda albam yake ambayo itakamilika hivi karibuni na kuingizwa sokoni, Mungu azidi kukubariki kwa kusikiliza kazi hii na usisahau kutuachia maoni yako hapo chini na kuwashirikisha watu wengine zaidi.
Kwaajili ya Mialiko na huduma Mbali Mbali Unaweza Kuwasiliana Na MTINDO ELIAS kupitia mawasiliano haya 0719 72 56 98 Na katika Mitandao ya Kijamii Anapatikana Kwa Jina La MTINDO ELIASI
Bonyeza Hapa Chini Kuweza Kupakua Wimbo Huu
Waaaaaoooooo Nyimbo nzuri sanaaaaa akbam unatoa liniiiiiiii jamani
ReplyDeletei like that song
ReplyDeletefrom ukrine but am Tanzanian
nabarikiwa sana na nyimbo hizi
i feel like home
be blessed