Umoja Wa Vijana KKKT Usharika Wa Kipawa - Yerusalem






Kwaya ya Umoja wa Vijana KKKT kipawa ilianzishwa mnamo mwaka 1983, tokea kwaya hii imeanzishwa imeweza kutoa albam nane (8) na kufanikiwa kufanyia video albam tatu (3), Ni miongoni mwa kwaya zinazofanya vizuri sana kutokana na uimbaje wake kuwa kipekee sana.

Kwa hii inaimba uimbaji wa live na wapo tayari kwa mialiko kwa ajili ya kufanya huduma ya uimbaji mahali popote pale ndani na nje ya nchi, Iwe ni katika mikutano ya ainjili,makongamano au matamasha ya uimbaji wapo tayari kwa mda wowote ule.

Usharika wa Kipawa upo Dar Es Salaam jimbo la ukonga kata ya kipawa karibu kabisa na uwanja wa ndege wa Mwl.Julius K Nyerere.
Unaweza Pia kuwasiliana na Mwenyekiti wa vijana na pia ni Muimbaji katika kwaya Jeriko Simon Mgaya 0787-939-939
Unaweza pia kuwasiliana na uongozi wa usharika moja kwa moja kwa sekta ya vijana kwa namba hizi 0717-165-072/0714-238-636 na 0715-853-853


Comments

  1. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

    ReplyDelete
  2. Amen Mungu Ni Mwema
    Mbarikiwe Pia Kwa Kazi Yenu Nzuri

    ReplyDelete
  3. hii ni nzuri sanaaaa
    mbona hakuna nyimbo zao zingine sasaaaa?
    nazipata wapi?

    ReplyDelete

Post a Comment