Mtindo Elias - Huyu Yesu Mashairi (Lyrics Video)


Kwa mara nyingine tena mwanamziki Mtindo Elias Mara Baada ya kufanya vizuri sana na Wimbo Wake unaoiwa HUYU YESU sasa ameweza Kukuletea mashairi yake ya huu wimbo kupitia Channel yake ya Youtube unaweza kubonyeza hapa chini na kisha ukaangalia Na Kusoma na kuujua Wimbo Vizuri.


Pia Kama utamhitaji Mtindo Elias Kwa ajili ya huduma,matamasha na huduma mbalimbali yupo wazi mda wote na anasubiria mialiko yenu.
Unaweza Ukampigia Kwa Namba za Simu 0719725698
Pia unaweza ukawasiliana naye kupitia mitandao ya kijamii Facebook , Instagram na Twitter Kwa Jina La Mtindo Elias

Waweza Kupakua Nyimbo Zingine Kama Hizi

=>Mtindo Elias - Huyu Yesu

Comments