Tibery Lucas - Niwewe Mungu



Leo Tunakuletea Nyimbo Mpya Kabisa Kutoka Kwa Kijana Anayeitwa Tibery Lucas kutoka nyanda za Juu Kusini Njombe, NI Ingizo Jipya Kabisa Linalokwenda Kwa Jina La NI WEWE MUNGU Wimbo Huu Umeweza Kutengenezwa katika studio za Mefo zilizopo Jijini Mbeya.

Kwa Mawasiliano Anapatikana kupitia Namba hii hapa 0765954379 Kwa Njia ya Whatsapp,
Lakini pia waweza kumpigia kwa simu namba  0752726981
Email.tiberylucas@gmail.com.
Face book Lucas Tibery
Instagram.tibery6442( tibery lucas.)

Lakini pia aliweza kuwa na neno hili kwa mashabiki wake wa mziki wa injili ""Naomba watu wanisapoti kwa kusikiliza kazi yangu, Najua ninzuri na wao wataifurahia na kubarikiwa pia kwa kumsifu Mungu aliye hai. Kwani hili ni kusudi kubwa la Mungu wetu, Hivyo watu wanisapoti katika huduma hi ili nifikie lengo la Mungu la kumtumikia kwa njia ya Uimbaji. Najua siwezi bila kushikwa mikono na Mungu na Mungu huweza kumshika mtu kwa mikono ya kibinadam "
Tibery Lucas Yupo Tayari kwa huduma wakati wowote ule waweza kuwasiliana Naye. Lakini Pia Anajiandaa kuachia Wimbo Wake Mwingine Mpya Hivyo Kaa Mkao Wa Kupokea tena kutoka kwake.





Comments