DOWNLOAD AUDIO: GOODLUCK GOZBERT & THE SAUTI LIGHT WORSHIPPERS – WASTAHILI SIFA


Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu, Leo tumeweza kukuletea wimbo mpya wa kuabudu kutoka kwa Mwimbaji Goodluck Gozbert akiwa yupo pamoja na The Sauti Light Worshipers Wakiwa wanaimba Wimbo Unaoitwa Wastahili.
Barikiwa sana kwa kuweza kuupakua wimbo huu na kuusikiliza, naamini utaweza kubarikiwa sana sana, pia usisahau kumtumia na mwenzako pia ili aweze kuapata baraka hivi.



Kwa ajili ya mawasiliano ya huduma na Mialiko mbalimbali kutoka kwa Goodluck Gozbert waweza wasiliana naye kwa mawasiliano haya hapa chini

Simu/WhatsApp: +255 655 212 720 au +255 654 276 560​⁠​
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert
Youtube: Goodluck Gozbert
Twitter: @goodluckgozbert
Tovuti: www.goodluckgozbertministry.com

Comments