Ni Msanii mkongwe lakini ni mpya kabisa masikioni mwa watu, Amekuwa na Karama Hii ya uimbaji tokea utotoni mwake mpaka alipoweza kutimiza ndoto yake ya kuweza kuuweka wimbo huu katika sauti Chini ya mtayarishaji maarufu na mkubwa kabisa Aitwaye Mocco katika studio iliyopo Sinza Kwa Remi.
Bonyeza Hapa Kupata Nyimbo Za Kuabudu
Huyu kijana anitwa Joram Josiah Binamungu Kaweza kuimba wimbo unaoitwa Nakutumaini, Ni Wimbo unaogusa sana maisha ya watu katika uhalisia na kiroho pia, ni wimbo unaoweza kukupa faraja ya moyo na hata kukupeleka viwango vingine kiroho.
Bonyeza Hapa Kuweza Kuupakua kisha pia washirikishe na wengine waweze kubarikiwa kupitia wimbo huu.
Bonyeza Hapa Kupata Nyimbo Za Sifa
Ndugu Joram Josiah Binamungu yupo tayari kwa huduma na Mialiko mbalimbali wakati na saa yoyote unaweza kuwasiliana naye kwa kutumia namba za simu hizi hii hapa chini.
Namba Ya Simu +255(0) 675 031 639
Facebook Joram Josiah
Mungu na Akubariki Katika Yote
BONYEZA HAPA KUPAKUA WIMBO HUU
DOWNLOAD MP3 HERE
Bonyeza Hapa Kuwasiliana Na Gospo Tone
Comments
Post a Comment