DOWNLOAD AUDIO MUSIC: TBABZ FEAT YOYO & TIWEZI – BACK TO YOU





Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu! leo nimekuwekea wimbo uitwao ”Back To You”(Narudi Kwako) kutoka kwa mwinjilisti ”Tolulope BabaJide” au unaweza kumwita ”T Babz” ambaye ndiye prodyuza wa wimbo huu akiwa amemshirikisha mwimbaji mwenye sauti nzuri sana anayefahamika kwa jina la Yoyo pamoja na Tiwezi.

”Haijalishi mzigo uliobeba, Yesu Kristo alisema “Njooni kwangu, ninyi nyote mlioelemewa na mizigo mizito, nami nitawapumzisha. Haijalishi ni umbali wa kiasi gani umesimama kati yako na Mungu, bado nafasi ipo ya wewe kuweza kurudi kwake na akakupokea na kukutakasa!..”
Ni hakika wimbo huu utakuwa ni wa baraka sana kwako na kukuinua. Karibu ufurahie na ubarikiwe!


Comments