Shalom wana Wa Mungu, Leo tena kutoka hapa jijini Dar Es Salaam tunakuletea wimbo mzuri kabisa wimbo wa sifa kutoka kwa mwimbaji mahili kabisa Wagala Hamidu Shungu(Wagala Music) Wimbo Huu ameweza kuutayarisha kutoka katika studio za Success Music Chini ya mtayarishaji Chief Elia(Producer).
Wimbo unakwenda kwa jina la Kabla ni wimbo unaomtukuza Mungu na kumrudishia sifa pamoja na utukufu si wimbo wa kuukosa kwakweli Maana kupitia awimbo huu utaweza kuungana na wapendwa mbalimbali duniani kote kuweza kumsifu Mungu, Kumbuka kumshirikisha pamoja na mwenzako ili tuweze kumsifu Mungu kwa pamoja, Pia Wagala Shungu anasubiria mialiko yenu mbalimbali kwa ajiri ya huduma na yupo tayri mda wote unaweza kuwasiliana naye kupitia mawasiliano haya hapa lwa ajili ya huduma.
Simu/WhatsApp: +255 752 066 826, +255 713 340 699
Facebook: Wagala Hamidu
Instagram: @wagala_music
Youtube: Wagala Music
Facebook: Wagala Hamidu
Instagram: @wagala_music
Youtube: Wagala Music
Je Nawe Ni Msanii? Una Wimbo? Au Unahabari Ulitaka Iandikwe Hapa?
Bonyeza ===> Hapa Kwa Mawasiliano
Comments
Post a Comment